Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Meru Christopher J. Kazeri amewataka washiriki wa mafunzo ya FFARS katika idara ya Afya kuwa wasikivu na kushirikiana ili kuelewa mfumo huo wa uhasibu wa utoaji taarifa katika vituo vya kutolea huduma(FFARS) wenye lengo la kutoa uelewa mpana ,maarifa na stadi za kuwezesha utendaji wa moja kwa moja kuhusu uhasibu na utoaji wa taarifa kwa ngazi ya kutolea huduma kwa
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa