Wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru wameungana na watumishi wengine wa mkoa wa Arusha kuadhimisha siku ya wafanyakazi duniani (Mei Mosi) ambapo Mkuu wa Mkoa huo Mrisho Gambo, ameongoza maadhimisho hayo yaliyofanyika katika Uwanja wa Sheik Amri Abeid .
PICHA ZA TUKIO.
Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru wakati wa maandamano ya kuingia Uwanja wa Sheik Amri Abeid.
Mfanya kazi bora kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Meru Ndg.Charles Mungure ambaye ni Afisa Maliasili baada ya kupokea cheti na zawadi.
Baadhi ya wafanya kazi bora wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru kutoka idara na vitengo mbalimbali baada ya kupokea vyeti vyao na zawadi .
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa