Halmashauri ya Wilaya ya Meru ipo kwenye maandalizi ya kuanza zoezi la URASIMISHAJI wa Ardhi i kwenye baadhi ya maeneo yaliyopo katika Halmashauri hiyo.Ili kuweza kuwajengea uwezo wanafunzi waliomaliza vyuo, Halmashauri inatoa nafasi kumi na nne za kujitolea katika fani mbalimbali kwenye sekta ya Ardhi .Bofya hapa TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA .pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa