Ikiwa ni utekelezaji wa agizo lililotolewa na makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu la uundaji wa majukwaa ya wanawake kuanzia ngazi za kata,wilaya,mkoa na taifa,Halmashauri ya Meru kupitia idara ya maendeleo ya jamii kwa kushirikiana na wadau mbalimbali tarehe iliunda na kuzindua jukwaa la wanawake linaloongozwa na mwenyekiti Aisha Hussein aliyechaguliwa kwa kupigiwa kura pamoja na viongozi wengi ambao ni Lydia Kimario makamu mwenyekiti,Neema Johnson katibu,Upendo Silvester makamu katibu,Anande Mkali mtunza hazina,Anate Philipo makamu mweka hazina
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa