Halmashauri ya Wilaya ya Meru imeshiriki kikamilifu katika kuadhimisha siku ya Familia Kimataifa ambapo yamefanyika katika shule ya Msingi Precious English Medium Wilayani humo.
Maadhimisho hayo yameongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Emmanuela Kaganda ambaye ndiye mgeni rasmi katika Maadhimisho hayo kwa ngazi ya Wilaya.
Kauli mbiu katika maadhimisho haya ni "Tukubali Tofauti Zetu Kwenye Familia, Kuimarisja malezi kwa Watoto"
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa