Mwenyekiti wa kamati ya Hamasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Daniel Nanyaro ametoa Elimu kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwenye madahalo ulioandaliwa na Taasisi isiyo ya kiserikali Dunia salama foundation wakishirikiana na Youth Hub Arusha iliofanyika katika Chuo cha MS TCDC.
Aidha madahalo huo ulikuwa na Lengo la kuwapatia Vijana Elimu kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa huku mada kuu Ikiwa inasema "nikwanamna gani Vijana Wana mchango katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa"
Aidha kupitia madahalo huo takribani Vijana Mia Mbili wameshiriki madahalo huo nakujifunza Zaidi kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Serikali za Mitaa Sauti ya Wananchi Jitokeze kushiriki Uchaguzi.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa