Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Meru Flora Msilu amemkabidhi Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mwl. Zainabu Makwinya Vyeti vya Pongezi vya Ushiriki wa Michuano ya FEASSA iliyofanyika Kakamega nchini Kenya.Aidha vyeti hivyo viliwasili Ofisini kwa Mkurugenzi mtendaji akiwa nnje ya Ofisi Kikazi. Mara baada ya kukabidhia Mkurugenzi mtendaji aliwakabidhi Mkuu wa Divisheni ya Elimu Sekondari Marcel Itambu na Mkuu wa Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi Mariana Mgonja
Makabidhiano hayo yamefanyika kwenye ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Meru.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa