• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

JAMII YATAKIWA KULINDA NA KUTETEA HAKI ZA WATOTO KWA KUTEKELEZA WAJIBU WAO .

Imewekwa: June 17th, 2020

Afisa ustawi wa Jamii Halmashauri ya Wilaya ya Meru Bi. Restituta Mvungi ikiwa ni siku ya Mtoto Afrika ametoa wito kwa jamii kuwa mstari wa mbele kulinda na kutetea maslahi mapana ya watoto ikiwa ni pamoja na kuwatimizia mahitaji yao pamoja na kutenga muda wa kuwasikiliza.

Restituta ametoa wito huo wakati wa mdahalo wa haki za Mtoto uliofanyika kituo cha Watoto (Watoto Foundation ) ambapo Halmashauri kwa kushirikiana na shirika la Voice of Youth Tanzania (VOYOTA) imetoa elimu sambamba na vifaa vya kujikinga na maambukizi ya COVID 19.

Mkurugenzi wa Shirika la Voice of Youth Tanzania Ndg. Vicent Huega ametoa wito kwa jamii kuendelea kuchukua tahadhari za ugonjwa wa COVID 19 kwa kunawa mikono na maji tiririka na sabuni na kuzingatia maelekezo ya kujikinga yanayotolewa na Wizara ya Afya ,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto .

Wadau wa makao ya kulelea watoto (Watoto Foundation ) wameishukuru Serikali kushirikiana na shirika la VOYOTA kuongoza mjadala huo wa elimuu juu ya haki za Mtoto na wajibu wa jamii sambam ba na utoaji wa vifaa vya kujikinga na maambukizi ya COVID 19.

Aidha Mkurugenzi wa makao ya Watoto Foundation Ndg. Noud V. Hout ametoa wito kwa jamii kutoa malezi kwa watoto na hasa kuwapatia mahitaji Yao ya Msingi ili wasihangaike kutoroka nyumbani kwenda kutafuta huduma na malezi mtaani.

Aidha ,shirika limekabidhi vifaa ambavyo ni ndoo na sabuni kwaajili ya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa COVID 19.

BAADHI YA PICHA ZA TUKIO.




Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • TAHAPAO NA MERU DC WAWEKA NGUVU KWENYE KAMATI ZA MTAKUWA

    February 19, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa