• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

Jamii yatakiwa kuzingatia elimu ya afya ili kudhibiti magonjwa yasiyoambukiza .

Imewekwa: November 14th, 2019

Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru Ndg.Emmanuel Mkongo ametoa Wito kwa wananchi wa Halmashauri hiyo kuzingatia elimu na ushauri toka kwa wataalam wa afya ili kuwa na afya bora wakati wote.         

Mkongo amesema hayo katika maadhimi sho ya  wiki ya kudhibiti na kupambana na magonjwa yasiyoambukiza ambayo kwa Halmashauri hiyo  yamefanyika katika Kata ya Mbuguni na kitaifa yamefanyikia Mkoani Dodoma.  

Mkongo Amesema  kwa miaka ya hivi karibuni vifo vingi vimetokana na magonjwa yasiyo ambukizwa hali inayopelekea Serikali kuanza kampeni  hiyo ya kuyathibiti.    

Katika kuhakikisha wagonjwa wanapata matibabu  kwa wakati Mkongo amewaagiza waganga wafawidhi wa vituo vya  afya katika Halmashauri hiyo kutenga siku moja katika Juma ya kliniki ya magonjwa ya Sukari na shinikizo la juu la damu kwani  ni taarifa zinaonesha zaidi ya wagonjwa 5000 waligundulika kuwa na maradhi hayo kwa mwaka 2018.                                           

Naye Mganga Mkuu wa Halmashauri hiyo Dkt. Maneno Focus amesema  miongoni mwa visababishi vya magonjwa yasiyoambukizwa ni pamoja  na lishe isiyofaa, kutofanya mazoezi,unywaji wa pombe kupita kiasi,uvutaji wa sigara na matumizi ya tumbaku,na sababu nyinginezo za kurithi.

Drk.Focus alifafanua kuwa Mpango wa Kuzuia magonjwa yasioambukizwa umelenga kuelimisha na kuihusisha jamii,kuwapa mafunzo watoa huduma na kuongeza vifaa tiba na dawa katika ngazi zote za kutolea huduma.Katika Zoezi la wiki ya udhibiti wa Magonjwa yasiyoambukiza halmashauri ya Meru iliwaalika madaktari bingwa wa magonjwa ya Ndani na upasuaji ambao walitoa ushauri na tiba kwa wananchi zaidi ya 798 kutoka kata za pembezoni zikiwemo Leguruki,Ngarenanyuki na Mbuguni.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Meru akizungumza na wananchi wa Mbuguni ,Kulia kwake ni Afisa Tarafa wa Tarafa ya Mbuguni Ndg.Abdallah Temi na kushoto ni Mganga Mkuu Wilaya Dkt.Focus Maneno.

Wananchi wa Kata ya Mbuguni wakati wa uzinduzi wa wiki ya kudhibiti na kupambana na magonjwa yasiyoambukizwa.

 zoezi la upimaji Kata ya Leguruki

Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • TAHAPAO NA MERU DC WAWEKA NGUVU KWENYE KAMATI ZA MTAKUWA

    February 19, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa