• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

KAMPUNI YA AIRTEL YAKABIDHI VIFAA VYA MTANDAO "ROUTER" KWA HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU

Imewekwa: September 5th, 2024

Airtel Tanzania, kupitia programu yake ya "Shule Smart," imekabidhi vifaa vya Mtandao aina ya 'router' kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru, Mwl. Zainabu J. Makwinya, leo tarehe 5 Septemba 2024. Vifaa hivyo vinatarajiwa kusaidia kurahisisha usomaji kwa wanafunzi mashuleni.

Akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa hivyo, Mwakilishi wa Airtel, Ndg. Harrison Isdory, amesema kuwa vifaa hivyo vitawawezesha wanafunzi kupata rasilimali mbalimbali za elimu kupitia tovuti za bure kama vile Tie Library na Shule Direct. Tovuti hizi zinatoa vitabu, mitihani iliyopita, na fursa ya wanafunzi kuuliza maswali na kupata majibu kwa haraka.

Mkurugenzi Makwinya, ameishukuru kampuni ya Airtel kwa msaada huo na kusisitiza kuwa vifaa hivyo vitachangia kuongeza kiwango cha ufaulu mashuleni. Aidha, amewataka Wakuu wa shule za Sekondari katika Halmashauri ya Meru kuweka usimamizi mzuri kwa wanafunzi mashuleni katika matumizi ya vifaa hivyo Ili kuboresha taaluma ya elimu.

Mkuu wa Shule ya Sing'isi, Mwalimu Datus Zabron, amesema kuwa vifaa hivyo  vina umuhimu mkubwa katika elimu kwani vinapunguza mzigo wa Serikali wa kununua vitabu. Pia, ameeleza kuwa vifaa hivyo vinapanua wigo wa kujifunza na kuongeza maarifa kwa wanafunzi kwa kuwapa fursa ya kupata taarifa mbalimbali za masomo kwa njia ya mtandao, hivyo kuchangia katika kuongeza ufaulu mashuleni.


fungua hapa kupata video,☝️

Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • TAHAPAO NA MERU DC WAWEKA NGUVU KWENYE KAMATI ZA MTAKUWA

    February 19, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa