*TANGAZO TANGAZO TANGAZO*
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, anawatangazia Wananchi wote kuwa tarehe 16 oktoba 2021 *Jumamosi* Mhe.Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atawasalimia Wananchi wa Wilaya ya Arumeru majira ya saa 7:00 mchana katika Maeneo ya Kikatiti, Usa-River na Tengeru.
Pia.Siku ya Jumapili tarehe 17 oktoba 2021 ya saa 2:00 Asubuhi Mhe.Rais atatembelea Mradi wa Maji (chekereni )Wilayani ARUMERU na badae atazungumza na Wananchi wa Mkoa wa arusha katika uwanja wa shek Amri abedi
Wananchi wote mnakaribishwa
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa