fungua hapa kupata video,☝️Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Sendiga akimkabidhi Mwenge wa Uhuru leo tarehe 19 Julai 2024 Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu .
Mwenge wa Uhuru kwa Mkoa wa Arusha utakimbizwa katika Wilaya 7 zinazounda Mkoa wa Arusha ikiwemo Halmashauri ya Wilaya ya Meru, Halmashauri ya Wilaya ya Arusha, Halmashauri ya Wilaya ya Monduli, Halmashauri ya Wilaya ya Karatu, Halmashauri ya Wilaya ya Longido, Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro pamoja na Halmashauri ya Jiji la Arusha.
MWENGE WA UHURU 2024
Kauli Mbiu " Tunza Mazingira na Shiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Ujenzi wa Taifa Endelevu"
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa