Mkurugenzi Mtendaji, halmashauri ya Wilaya ya Meru Mwl.Zainabu Makwinya anawakaribisha wananchi wote, kutembelea Mabanda ya Kilimo na Mifugo ya Halmashauri, kwenye viwanja vya Themi - Njiro jijini Arusha ikiwa ni maonesho ya nanenane ambayo yameanza tarehe 01- 08 Augusti, 2022.
Karibu ujionee na kujifunza shughuli mbalimbali za Kilimo na Mifugo zinazofanyika kwenye halmashauri ya Meru kufikia AJENDA 10 -30.✍️tupo vizuri tuna mifugo bora ya kibiashara pia tuna aina ya Kuku wa Mapambo nk
KAULI MBIU: AGENDA 10 - 30 KILIMO NI BIASHARA SHIRIKI KUHESABIWA KWA MIPANGO BORA YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI✍✍
TUKUTANE VIWANJA VYA THEMI - NJIRO
*SENSABIKA*# TAREHE 23 AGOSTI 2022✍️
JIANDAE KUHESABIWA
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa