Kuelekea Miwaka Wiwili ya Mafanikio ya Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wanawake wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru wakiwemo watumishi, Wafanyabiashara, Wafugaji na wakulima wameungana pamoja kufanya utalii wa ndani katika hifadhi ya Taifa ya Arusha (ANAPA) ikiwa ni kuungamkono juhudi za Mhe.Rais Samia kuiletea Tanzania Maendeleo kwa kuimarisha sekta ya Utali.
Meru tupo Vizuri
Kazi iendelee.........
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa