KWAHERI MWENGE WA UHURU MERU.
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mwl. Zainabu J. Makwinya amemkabidhi Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Arusha Ndugu Suleiman Msumi Mwenge wa Uhuru baada ya ukamilishaji wa ukaguzi wa miradi tisa katika halmashauri ya wilaya ya Meru wenye thamani ya bilioni 8.388.
Kabla ya kukabidhiwa mwenge huo,kwa upande wake kiongozi wa mbio za mwenge kitafaifa ndugu Godfrey Eliakimu Mzanva amepongeza ufanisi wa miradi iliyotembelewa na mwenge katika halmashauri ya wilaya ya Meru.
fungua hapa kupata video,☝️
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa