*WORLD CLEANUP DAY*
Halmashauri ya Wilaya ya Meru kwa kushirikiana na Taasis na Mashirika mbalimbali leo tarehe 17.9.2022 ikiwa ni siku ya usafishaji wa mazingira Duniani, tumefanya usafi kuanzia Leganga Center mpaka Imbaseni.
Halmashauri inawashukuru wadau wa HAKI INITIATIVE, DUNIA SALAMA FOUNDATION, KWALEMAWE CULTURAL ORGANIZATION, CHANGE FOR FUTURE FOUNDATION, ATTRACTION BIRDS CONSERVATION ORGANIZATION(ABC),AFRICAN WILDERNESS EXPERIENCE,KILIMANJARO EXPERTS,TWICE FOUNDATION, LAZARO FOUNDATION NA WORLD SERVE INTERNATIONAL kwa kushiri
Kauli mbiu " *JIUNGE NA HARAKATI ZA KUISAFISHA DUNIA"*
*MERU TUPO VIZURI
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa