Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mwl.Zainabu Makwinya ameungana na Wanawake wengine wa Halmashauri hiyo katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambapo kwa Mkoa wa Arusha yanafanyika katika viwanja Ngarenaro.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa