Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe.Felician Mtahengerwa akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha ambaye ni mgeni rasmi wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Kimkoa, amekagua mabanda ya Taasisi na Halmashauri mbalimbali likiwemo banda la Halmashauri ya Wilaya ya Meru katika viwanja Ngarenaro.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa