Maadhimisho ya wiki ya Elimu kwa mwaka 2017 Kwa mkoa wa Arusha yamefanyikia katika Wilaya ya Arumeru ,Halmashauri ya Wilaya ya Meru katika shule ya msingi Chemchem iliyopo kata ya Kikatiti kauli mbiu ya maadhimisho haya ni " ELIMU BORA NI HAKI YA KILA MTOTO "
Naye mgeni rasmi ambaye ni afisa Elimu wa mkoa wa Arusha Gift kyando amewataka wazazi ,viongozi wa viijiji na kata kuhakikikisha wanatokomeza utoro wa wanafunzi mashuleni na kusisitiaza utoro iwe ni moja ya agenda zao katika vikao vya Kata na kuwa ni moja kati ya taarifa wanazowasilisha waheshimiwa madiwani katika mabaraza
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa