Waheshimiwa Madiwani na Wajumbe kamati ya Fedha, Utawala na Mipango wamefanya ukaguzi wa ujenzi wa Vyumba Vinne vya Madarasa na Matundu 8 ya vyoo shule ya Sekondari Kikwe.
Mradi huo ulipokea kiasi cha sh. Milioni 114.4 kwa ajili ya Madarasa hayo na sh. Mil. 14.4 kwa ajili ya ujenzi wa Vyoo Fedha kutoka Serikali Kuu.
"Serikali za Mitaa, Sauti ya wananchi, Jitokeze kushiriki Uchaguzi".
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa