Semina hii endelevu kwa mabaraza ya usuluhishi ya Kata imefanyika kwa mabaraza ya Kata ya Imbaseny,Majiyachai na Usa-River Tarehe 15 Mei 2017 na wajumbe kusisitizwa katika kusimamia misingi ya haki wanapaswa kuzingatia taratibu na mila za eneo husika zinazosaidia kutatua migogoro na kuleta suluhu baina ya wadaawa, na sio kutumia mila hizo pekee katika kufanya maamuzi.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa