Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe.Emmanuela Kaganda pamoja na Wakuu wa Wilaya za Tanzania Bara wakiwa wamewasilili katika ukumbi wa Jiji la Dodoma - Mtumba kushiriki Mafunzo ya Uongozi kwa Wakuu wa Wilaya za Tanzania Bara yatakayoanza leo tarehe 13 - 18 Machi 2023. Mafunzo hayo yatafunguliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdori Mpango
.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa