Watoa Huduma wa Afya Vituoni ambao ni waratibu wa Lishe Vituoni Wapatao 52 wamepatiwa Mafunzo ya lishe kuhusu Matibabu ya Utapia Mlo Kwa Watoto Chini ya Miaka Mitano. (INTEGRATED MANAGEMENT OF ALUTE MALNUTRITION (IMAM)
Mafunzo hayo ya Siku 5 yanafanyikia katika Ukumbi wa Shule ya Msingi Amani English Medium yameanza Tarehe 04 Novemba 2024 na yanatarajiwa kutamatika Tarehe 08 Novemba 2024
Mafunzo hayo yakiwa na Lengo kuu la kuboresha swala zima la Afya Kwa Watoto wanaozaliwa na waliopo Ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Meru.
Aidha Mafunzo hayo yanaendeshwa na Idara ya Afya ustawi wa Jamii na Lishe kitengo cha Lishe huku wawezeshaji wa Mafunzo hayo wakiwa Ni Wawezeshaji wa Maswala ya Lishe Kitaifa
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa