Wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru na wafanyakazi wa mashirika yasiyo ya kiserikali wakifanya mazoezi ya viungo jumamosi ya tarehe 11/03/ katika Uwanja wa mazoezi wa Jeshi la Polisi - Usa River. Mazoezi haya yaliongozwa na Viongozi kutoka jeshi la polisi kituo cha Usa- River
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa