Mkuu wa Wilaya Arumeru Mhe. Emmanuela Kaganda na Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mwl. Zainabu Makwinya wameongoza mazoezi Kwa watumishi Halmashauri ya Wilaya ya Meru Kwa ajili yakijiweka Sawa Kwa Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru 2024.
Mwenge wa Uhuru unatarijiwa kukimbizwa katika Halmashauri ya wilaya ya Meru tarehe 19 Julai, 2024 na eneo la Mapokezi litakiwa Migungani Kata ya Mbuguni ukitokea Simanjiro Mkoa wa Manyara.
Kauli mbiu ya mwaka 2024 "Tunza Mazingira na Shiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Ujenzi wa Taifa endelevu"
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa