Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru wa chama cha wafanyakazi TALGWU ni miongoni mwa watumishi wa Halmashauri hiyo toka vyama mbalimbali, ambao wameungana na wafanyakazi wengine wa Mkoa wa Arusha ikiwa ni sikukuu ya wafanyakazi Duniani MeiMosi 2023, katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid ambapo Mgeni Rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.John Mongela.
" *MASLAHI BORA, MISHAHARA JUU, KAZI IENDELEEā*
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe.Emmanuela Kaganda na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mwl.Zainabu Makwinya wapo ndani ya uwanja wa Sheikh Amri Abeid
Arumeru/Meru tupo Vizuri
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa