Halmashauri ya Wilaya ya Meru imeibuka Mshindi kwenye Mchezo wa Pooltable mara baada ya Mshiriki Regina Tilya kizifunga Halmashauri zote zilizoshiriki Mchezo huo Kufuatia ushindi huo imepelekea Halmashauri ya Wilaya ya Meru kupewa kombe na Mkuu wa mkoa wa Tanga Matilda Buriani aliekuwa mgeni rasmi akimuwakilisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa kwenye hafla ya kuhitimisha Michuano ya SHIMISEMITA 2025
Aidha katika kufunga Michuano hiyo Matilda amewataka watumishi kuendelea kudumisha Undugu, Umoja na Mshikamano katika maeneo ya kazi na hata kuendelea kufanya Michezo kwani ufanyaji wa mazoezi ni sehemu moja wapo ya kazi.
Mwisho amewataka watumishi kujiandaa vyema kushiriki uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu kwa mani.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa