• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

MERU DC YATUMIA ZAIDI YA YA SH. BIL.1.8 YA MAPATO YA NDANI KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO.

Imewekwa: August 6th, 2024

Halmashauri ya Wilaya ya Meru chini ya Mkurugenzi Mtendaji Mwl. Zainabu J. Makwinya imetoa mrejesho wa fedha zilizotumika za  mapato ya Ndani kwa kipindi cha Miaka Mitatu kwa ajili ya utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya Maendeleo Katika Halmashauri hiyo.

Katika Kikao Kazi cha Watendaji wa Kata na Vijiji Mkurugenzi Makwinya ametoa mrejesho wa kile kilichofanywa na Halmashauri na kuelezea kuwa shilingi Bilioni 1,819,061,767.00  zimetolewa katika Mapato ya Ndani kwa kipindi cha miaka mitatu kwa ajili ya kutekeleza Miradi ya Maendeleo kwa upande wa Elimu Sekondari, Elimu Msingi na Afya.

Makwinya ameleeza kuwa, Serikali ya Awamu ya Sita ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kipindi cha miaka mitatu Halmashauri ya Meru kama Halmashauri  nyingine imenufaika kwa fedha nyingi za Miradi ya Maendeleo ambapo zaidi ya shilingi Bilioni 21.5 zimetolewa kwa Sekta ya Elimu Sekondari, Elimu Msingi , Afya na Utawala.

Ameleeza kuwa lengo la kutoa tathmini hiyo ni kuona Serikali imesaidia nini na Halmashauri imefanya nini ili kuongeza ukusanyaji wa mapato na kufikia Bilioni 10 ukilinganisha na ukusanyaji wa sasa wa Bilioni 6.1 kutoka ukusanyaji wa zamani wa Bilioni 3.6 wa miaka mitatu ya nyuma ambao ni ongezeko la asilimia 77% za ukusanyaji wa mapato.

Katika Kikao kazi hicho Mkurugenzi Mtendaji amewataka Watendaji wa Kata na Vijiji kusimamia ukusanyaji wa Mapato  katika maeneo yao na kujipima katika utendaji kazi kwa kipindi cha Miaka 3 kwa mwaka  wa fedha 2020/2021, 2021/2022 na 2022/2023 ili kuweza kufikia makusanyo ya sh. Bilioni 10.

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Emmanuela Kaganda katika kikao kazi hicho  ametoka pongezi kwa Mkurugenzi Mtendaji kwa malezi mazuri kwa  watumishi anaowaongoza lakini pia, kwa usimamizi mzuri wa miradi ya Maendeleo ya Halmashauri ya Wilaya ya Meru.

Katika kikao hicho Wakuu wa Idara na Màafisa wa Ulinzi na Usalama walipata nafasi ya kutoa mada mbalimbali zinazohusiana na utekelezaji wa shughuli za Halmashauri na masuala ya kijamii



Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • TAHAPAO NA MERU DC WAWEKA NGUVU KWENYE KAMATI ZA MTAKUWA

    February 19, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa