• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

MERU WAADHIMISHA SIKU YA MASHUJAA KWA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA, KUPANDA MITI

Imewekwa: July 25th, 2022

Mkuu  wa Wilaya ya Arumeru Mhandisi Richard Ruyango amewaongoza wananchi na Watumishi  wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru  kuadhimisha siku ya mashuja kwa kupanda miti kwenye chanzo cha maji Ndurumanga pamoja na kufanya Usafi wa Mazingira .

Mhandisi Ruyango  amesititiza mshikamano , amani na uzalendo  kwani  Mashujaa walijitolea maisha yao kwa ajili ya nchi yetu hivyo wananchi wanawajibu wa kuwa walinzi wa kwanza wa nchi yao kwa kutoa taarifa zitakazo saidia kulinda  na kudumisha amani  iliyopo.

Aidha Mhe.Ruyango amesema ili shughuli hizi za kijamii zilizofanyika kuwa na tija ni muhimu swala la usafi  kuimarishwa  kwa kila mwananchi kuhakikisha eneo lake ni safi  sambamba na utunzaji wa  miti na vyanzo vya maji  " nielekezi ili usafi huu kuwa na tija kila ofisi na maeneo ya biashara kuwe na vyombo vya kuhifadhi taka ili kuepuka utupaji hovyo wa taka na uchafuzi wa mazingira"amehimiza Mhandisi Ruyango.

Mkurugenzi Mtendaji wa  Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mwl.Zainabu Makwinya amesema ni muhimu  uzalendo Mkubwa wa mashujaa waliojitolea uhai kwa ajili ya nchi yetu kurithishwa kwa vizazi  vijavyo ambapo ushiriki wa wanafunzi mwakani ni muhimu.

Aidha Mwl.Makwinya amesema katika kuwakumbuka mashujaa miche ya miti 200 imepandwa  kwenye chanzo cha Maji Ndurumanga pia wadau  wa mazingira wa mechangia miche mia nane ambapo ameelekeza wananchi wananchi kuchuku miche ya miti hiyo  kwenda kupanda majumbani kama  ukumbusho wa mashujaa wetu. Mwl.Makwinya amesema  kwa mwaka 2021/2022 zaidi ya miche Milioni  1.5 ilipandwa ndani ya Hlmashauri ya Meru.

Mhe.Jeremi Kishili amewapongeza  wananchi  na watumishi kushiriki maadhimisho hayo ambapo amehimiza mshikamani.

Madhimidho hayo ya siku ya mashujaa katika Halmashauri ya Meru yamefanyika kwa kupanda miti 200 katika chanzo cha maji Ndurumanga na kufanya Usafi  eneo la Halmashauri na maeneo ya kituo cha daladala Leganga


Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI ANWANI ZA MAKAZI April 02, 2022
  • waliochaguliwa kwenye usaili wa tarehe 5 Aprili 2022 April 07, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA NAFASI YA KAZI KATIBU MAHSUSI DARAJA 111 May 26, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • WITO WATOLEWA KWA VIONGOZI WA DINI, MILA WENYEVITI WA VIJIJI NA VITONGOJI KUHAMASISHA ZOEZI LA SENSA

    August 15, 2022
  • MERU, UKANDAMIZAJI NA UTAPELI VIJANA KWA KISINGIZIO CHA FURSA WAPIGWA MARUFUKU

    August 26, 2022
  • BONANZA LA VIJANA MERU LAFANA

    August 11, 2022
  • ZIARA YA KAMATI YA FEDHA, UTAWALA NA MIPANGO

    August 11, 2022
  • Tazama Vyote

Video

Salamu za sikukuu ya Krismasi na Mwaka mpya 2021.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa