TFF imekabidhi mipira 120 ya michezo kwa shule za msingi na sekondari. Shule zilizokabidhiwa mipira ni pamoja na shule ya msingi Ya Kilimani, Usariver, Kilinga, Samaria, Ngongongare, Tanzanite, Mbuguni,Nkoaranga,Kandashe,Akheri na Nasula.
Kwa shule za Sekondari ni Shule ya SeKondari Muungano na Mulala. Bofya hapa kutazama video ya tukio hili https://www.instagram.com/p/C6VjlActCnx/
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa