• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

RC MONGELA ARIDHISHWA NA MIRADI ARUMERU.

Imewekwa: June 5th, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.John Mongela ameridhishwa na mradi wa  ujenzi wa Vyumba vinne vya Madarasa katika Shule ya Sekondari ya Kikwe  Wilayani Arumeru, Halmashauri ya Meru wenye thamani ya Milioni 51.3.

Hayo yamejiri wakati wa ziara yake ya siku Moja Wilayani Arumeru ya ukaguzi wa Miradi itakayowekewa, kaguliwa na kuzinduliwa na Mwenge wa Uhuru ambapo ameupongeza uongozi wa Wilaya na Halmashauri   kwa usimamizi mzuri wa miradi  na Wananchi kwa kushiriki kikamilifu katika kuchangia na nguvu kazi.

Aidha, katika mradi huo mchango wa Wananchi ni shilingi milioni 19.1, Wahisani shilingi milioni 8.6, Halmashauri shilingi milioni 22.4  na Serikali Kuu imechangia shilingi milioni Moja.

Pia.katika kikao cha kufahamiana na Wakuu wa Idara na Vitengo wa Halmashauri za Wilaya ya Arusha na Meru,  Mhe .Mongela amewataka Watumishi wa Umma kutekeleza wajibu wao kwa weledi ili kuwaletea Wananchi maendeleo "kila mmoja atumie taaluma yake katika kuchangia maendeleo " amehimiza Mongela.

Mhe. Mongela amewaagiza Wakurugenzi wa Halmashauri kuhakikisha wanazingatia maslai ya watumishi ikiwa ni agizo la Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan"hakuna haki bila wajibu kila mtumishi atekeleze wajibu wake"amehimiza Mongela.

Katika ziara hiyo Mkuu wa Mkoa alitembelea miradi ya ujenzi wa Vyumba vitatu (3) vya Madarasa katika Shule ya Sekondari Kikwe, Matumizi ya TEHAMA katika Shule ya Sekondari Mlangarini na mradi wa maji katika Halmashauri ya Wilaya ya Arusha.

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe.Jerry Muro akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wakati wa kikao na watumishi Wilayani humo

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.John Mongela akizungumza na Viongozi na Wakuu wa Idara na Vitengo Wilayani Arumeru katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru.




Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • TAHAPAO NA MERU DC WAWEKA NGUVU KWENYE KAMATI ZA MTAKUWA

    February 19, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa