Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru, anawatangazia Wananchi Wote wa Halmashauri hiyo, kuhudhuria kwenye Mkutano wa Baraza la Halmashauri hiyo utakaofanyika tarehe 28-29 Agosti 2019 , pamoja na Mkutano wa mwaka utakaofanyika tarehe 30 Agosti 2019 ,muda ni kuanzia saa 4:00 kamili asubuhi .
Wananchi wote mnakaribishwa kuhudhuria Mikutano hiyo kwa gharama zenu.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa