• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

MKUU WA MKOA WA ARUSHA AZIAGIZA HALMASHAURI KUIPA USHIRIKIANO TRA KATIKA SWALA LA KUKUSANYA MAPATO

Imewekwa: September 6th, 2018

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo ameziagiza Halmashauri zote za Mkoa huo kusimamia vyema swala la ukusanyaji wa Mapato sambamba na kuipa ushirikiano wa kutosha Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA).

Mhe.Gambo ametoa agizo hilo wakati akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru katika  ziara yake ya kukagua shughuli za maendeleo aswa miradi ya Afya.

Mhe.Gambo amesema taarifa ya Bajeti  ya Halmashauri ya Wilaya ya Meru kwa mwaka wa fedha 2018/2019 iliyotelewa inaonesha makisio ya makunyanyo ya mapato ya ndani ni  bilioni 4 huku  bajeti ya mishaara ya watumishi inayotoka serikali kuu ni bilioni 39,hivyo amesisitiza Halmashauri kukusanya mapato ya ndani na kuipa ushirikiano Serikali kuu katika ukusanyaji wa mapato kwani kwa Kiasi kikubwa bajeti za Halmashauri zinaitegemea Serikali kuu  "toeni ushirikiano kwa TRA iweze kukusanya mapato ya kutosha kwa Serikali kutoa huduma bora za Afya,Elimu na Maji kwa wananchi wake sambamba na  kuwalipa watumishi mishaara" amesisitiza Gambo.

Mhe.Gambo ameongeza kuwa mapato ya ndani ya Halmashauri lazima yatumike kuwalete wananchi maendeleo ambapo ,ameelekeza utoaji wa asilimia 10 za mapato kwa ajili ya mfuko wa wanawake,vijana na walemavu  kutolewa kwa wakati sambamba na asilimia 60 za mapato ya Halmashauri  kutumika kutekeleza miradi ya maendeleo.

Mhe.Gambo amemwagiza Mkurugezi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru ,Emmanuel Mkongo kuhakikisha fedha kiasi cha milioni 55 za mfuko wa wanawake vijana na walemavu ambazo hazikutolewa kwa mwaka wa fedha ulioisha  2017/2018 kutolewa .

Aidha ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha  katika Halmashauri ya Wilaya ya Meru ni muendelezo wa Ziara yake Mkoani humo  inayolenga kukagua shughuli za maendeleo haswa utekelezaji wa  miradi ya Afya,ziara hiyo ilianza katika Halmashauri ya Mji wa Arusha na Halmashauri ya Wilaya ya Arusha Ambapo leo inatarajiwa kuhitimika katika Halmashauri hii ya Wilaya ya Meru.

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro akitoa taarifa ya usimamizi wa Shughuli za Serikali wakati wa Ziara ya MKuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.Mrisho Gambo.

Mwenye kiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru Will Njau akisalimia wakati wa ziara ya  Mkuu wa Mkoa kwenye Halmashauri hiyo .

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru Emmanuel Mkongo akisoma taarifa ya Halmashauri hiyo wakati wa kikao cha Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

Baadhi ya Wakuu wa Idara na vitengo Halmashauri ya Meru wakati wa kikao cha Mkuu wa Mkoa na watumishi wa Halmashauri hiyo.

watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru wakimsikiliza  Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe.Mrisho Gambo.

watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru wakimsikiliza  Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe.Mrisho Gambo.

watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru wakimsikiliza  Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe.Mrisho Gambo.

watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru wakimsikiliza  Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe.Mrisho Gambo.

watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru wakimsikiliza  Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe.Mrisho Gambo.


Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • TAHAPAO NA MERU DC WAWEKA NGUVU KWENYE KAMATI ZA MTAKUWA

    February 19, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa