fungua hapa kupata video,☝️Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Emmanuela Kaganda Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2024.
Mwenge wa Uhuru kwa Wilaya ya Arumeru utakimbizwa katika katika Halmashauri mbili ambazo ni Halmashauri ya Wilaya ya Meru na Halmashauri ya Wilaya ya Arusha.
Kwa Halmashauri ya Wilaya ya Meru, Mwenge wa Uhuru unatembelea, unazindua na kuweka mawe ya msingi katika miradi itakayopitiwa na Mwenge wa Uhuru.
MWENGE WA UHURU 2024
Kauli Mbiu " Tunza Mazingira na Shiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Ujenzi wa Taifa Endelevu"
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa