• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA WALA KIAPO.

Imewekwa: November 22nd, 2019

Msimamizi wa uchaguzi wa Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru, Jonathani Kiama amewataka Wasimamizi  wa Vituo vya kupiga kura na wasimamizi  wasaidizi wa vituo vya kupiga kura katika Vijiji vya Ngongongare, Miririny na Imbaseni kuzingatia 


Kiama amesisitiza hayo wakati wa semina elekezi kwa wasimamizi hao wa Vituo vya kupiga kura pamoja na  wasimamizi  wasaidizi wa vituo vya kupiga kura wa Uchaguzi wa Serikali za mitaa,ambapo wamekula kiapo cha kutunza siri ,utii na uadilifu 


Kiama  amesema uchaguzi   utafanyika kwenye Vijiji vitatu tuu kati ya Vijiji 90 vya Halmashauri ya Wilaya ya Meru,hii ni kutokana na wagombea wengi kukosa sifa wakati wa zoezi lakuteua  wagombea pia baadhi ya wagombea kujitoa kwenye uchaguzi,"nitoe wito kwa Wananchi wa Vijiji vya  Ngongongare, Miririnyi na Imbaseni kujitokeza kupiga kura kumchagua kiongozi ataklayewaletea maendeleo.'amesisitiza Kiama.


Aidha vijiji vitakavyoshiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa tarehe 24 Novemba 2019 ni kijijji  cha  Ngongongare, Miririnyi na Imbaseni na Vijiji vingine 87 vyilivyobaki havitakuwa na uchaguzi Kutokana na Wagombea wake kupita bila kupingwa baada ya Wananchi  wengi waliosimamishwa na Vyama vyao vya  kukosa sifa wakati wa zoezi la uteuzi na  wengine kujito kwenye Uchaguzi.

Vituo vya kupiga Kura vitafunguliwa saa 2:00 kamili Asubuhi na kufungwa saa 10:00 kamili jioni


Baadhi ya picha za tukio.

Wasimamizi hao wa Vituo vya kupiga kura pamoja na  Wasimamizi  wasaidizi wa vituo vya kupiga kura wa Uchaguzi wa kata ya LE



Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • TAHAPAO NA MERU DC WAWEKA NGUVU KWENYE KAMATI ZA MTAKUWA

    February 19, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa