• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

HOSTELI YA MWARAAD ILIYOPO USA-RIVER LEGANGA YAWAKA MOTO

Imewekwa: January 3rd, 2018

Moto wazuka kwenye Hostel ya Mwaraad Hostel  iliyopo Usa-River Leganga ,janga hilo limetokea  leo majira ya saa 5:00 na uharibifu wa mali za wanafunzi  wanaoishi katika Hostel hiyo ambao ni wanafunzi wa chuo kikuu cha Tumaini Makumira kuombewa hifadhi ya Malazi katika shule iliyopo Jirani kwa siku kadha.

Akizungumza na wanafunzi hao Katibu Tawala wa Wilaya ya Arumeru Timotheo Mzava amewapa pole wanafunzi hao na  kumshukuru mungu kwani katika tukio hili hakuna aliyedhurika pia amewataka ambao vyeti vyao vimeunguzwa na Moto huo kwenda kituo cha polisi na kukata taarifa ya upotevu ( Loss report)

Mwangalizi wa Hostel hiyo Amina Hassan amesema ”moshi ulivuma toka chumba kimojawapo  kilichokuwa kimefungwa nilipofungua moshi ukatapaka kwenye vyumba vingine “

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Meru Christopher J. Kazeri amesema  Halmashauri imepokea tukio hilo kwa masikitiko na pia itatoa msaada wa awali  kwa wanafunzi hao wanne (04) ambao vitu vyao vimeteketea kwa kuwapa kila mmoja Fedha kiasi cha Shilingi 250,000/-.

Naye Rahel Elisha ameishukuru Halmashauri hiyo na ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Arumeru  kwa msaada wa hifadhi ya malazi na fedha kwa ambao vitu vyao vimeteketea.

Kamanda wa zimamoto Wilaya ya Arumeru Inspector Alhaj Kimaro amesema baada ya uchunguzi imebainika chanzo cha moto huo ni jiko la gesi lililokuwa linatumika.

Baadhi ya wanafunzi wanaoishi katika Hostel ya Mwaraad wakisikiliza maelekezo ya viongozi wa Serikali

Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • TAHAPAO NA MERU DC WAWEKA NGUVU KWENYE KAMATI ZA MTAKUWA

    February 19, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa