• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA AFUNGUA MRADI BARABARA YA UBUNGO-IRIKOLANUMBE KWA AGIZO.

Imewekwa: September 17th, 2018

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa  Ndg.Charles Kabeho amefungua  Miradi  miwili daraja la Irikolanumbe  na mradi wa barabara ya Ubungo Irikolanumbe yenye thamani ya Shillingi 338,490,000 .

Aidha Ndg.Kabeho ameridhishwa na ujenzi wa  mradi wa daraja la Irikolanumbe ambalo limekidhi vigezo tofauti na barabara ya Ubungo -Irikolanumbe yenye urefu wa km 2.9 ambayo ilionekana kuwa na mapungufu kinyume na mkataba 

Baada ya kubaini mapungufu hayo Ndg.Kabeho ameagiza mkandarasi aliyefanya kazi hiyo kutolipwa hadi atakaporekebisha mapungufu hayo ,pia ametoa  angalizo kwa Taasisi za umma kutofanya kazi na wakandarasi wasumbufu  "hakuna haja ya kufanya kazi na wakandarasi wasumbufu kama huyu wanarudisha maendeleo nyuma" amesisitiza Ndg.Kabeho.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Mhe.Jerry Muro amesema atafanyia kazi maagizo ya kiongozi  huyo wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa  ndani ya siku zisizozidi saba.

Mradi wa daraja la irikolanumbe na Barabara ya Ubungo - Irikolanumbe ni miongoni mwa miradi ya Halmashauri ya Meru iliyopitiwana mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka huu.

Kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa Ndg.Charles Kabeho akikagua barabara ya Ubungo - Irikolanumbe.

Kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa Ndg.Charles Kabeho akipima upana wa barabara ya Ubungo - Irikolanumbe.

Kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa Ndg.Charles Kabeho akisubiri  kuona mkataba na hatua za maandishi alizochukuliwa mkandarasi anayetengeneza barabara ya Ubungo - Irikolanumbe.

Kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa Ndg.Charles Kabeho akitoa maelekezo baada ya kukagua barabara ya Ubungo - Irikolanumbe na kupitia mkataba.

Wananchi wa Kata ya Nkoarimbu -Ndoombo wakisubiri  ufunguzi wa Miradi  miwili daraja la Irikolanumbe  na mradi wa barabara ya Ubungo Irikolanumbe.

Mradi wa daraja la Irikolanumbe  kabla ya ufunguzi.

Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa  Ndg.Charles Kabeho akiweka jiwe la ufunguzi wa daraja la Irikolanumbe  na mradi wa barabara ya Ubungo Irikolanumbe


Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO WIKI YA UTYUMISHI WA UMMA 2025 DODOMA

    June 13, 2025
  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa