Wananchi wa Mbuguni wapongeza Serikali kwa kuwezesha upatikanaji wa Maji, akizungumza kwa furaha baada ya kuteka maji kwenye kituo cha kusukuma maji cha Mradi wa Maji Mbuguni kilichopo Kijiji cha Kambi ya Tatu Laiti Denisi ambaye ni mkazi wa kijiji hicho amesema ana furaha kubwa kuona maji yanatoka katika mradi huu ulioanza kutekelezwa kwa zaidi ya miaka 5 kwani maji kwao yamekuwa changamoto kubwa inayopelekea kufuata maji ya kunywa umbali zaidi ya Kilometa 3 pia kuchota maji mtoni kwa ajili ya matumizi mengine.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa