Mapema hii Leo Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mwl. Zainabu J. Makwinya ametoa Semina Kwa viongozi wa vyama vya Siasa Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kulingana na MUONGOZO WA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA NGAZI ZA VIJIJI, VITONGOJI NA MITAA UTAKAO FANYIKA TAREHE 27 NOVEMBA, 2024 namba 25.0
Aidha Mwl. Makwinya amewataka viongozi hao wa vyama vya Siasa kuwa mstari wa mbele kufuata kanuni na taratibu kuhusu Uchaguzi ili kufanikisha Zoezi la Uchaguzi kuwa la Amani na lenye kuleta Maendeleo Kwa Jamii zinazowazunguka
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa