Huu ni muonekano mpya wa Bweni la wasichana
katika shule ya Sekondari King'ori baada ya kupata majanga ya kuunguliwa moto kwa bweni hilo.
Halmashauri ya Meru kwa kushirikiana na Serikali ya awamu ya sita inatoa shukrani kwa wadau mbalimbali akiwemo mdau mkubwa wa shirika lisilo la kiserikali la "Cross Talent Share International " (CTSI) na wote waliochangia fedha na mali kuhakikisha bweni hilo linarudi katika hali nzuri na wanafunzi kuendelea kutumia bweni hilo kama awali.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa