Mwili wa aliyekuwa Afisa Tawala wa Wilaya ya Arumeru marehemu Anaclet Mushashu umeagwa Leo katika viwanja vya Makao Makuu ya Wilaya ya Arumeru ambapo Watumishi wa Mkoa wa Arusha na Wilaya hiyo walipata fursa ya kutoa heshima za Mwisho kabla ya kusafirishwa kwenda nyumbani Kwao Wilaya ya Misenyi mkoani Kagera Kwaajili ya mazishi.
Mushashu alifariki tarehe 31 Juli 2021 katika Hospitali ya Wilaya ya Meru (Tengeru) alipokuwa akipatiwa matibabu.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa