Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru, Anawatangazia waliopo kwenye orodha ifuatayo kufika kwenye usaili wa nafasi ya msaidizi wa kumbukumbu na dereva wa mitambo utakao fanyika tarehe 15 - 16 Agusti 2019 saa 2:00 kamili asubuhi katika ukumbi wa Halmashauri hiyo.
Aidha tarehe 15 Agosti 2019 ni siku ya Usaili wa Mchujo ambapo watakaofaulu usaili huo watatakiwa kufika ukumbi wa Halmashauri siku inayofuata, saa 2:00 asubuhi kwaajili ya usaili wa mahojiano.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa