• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

RASIMU YA MPANGO WA BAJETI YA LISHE KWA MWAKA 2024/2025 YAJADILIWA MERU DC

Imewekwa: November 30th, 2023

Na Annamaria Makweba


Halmashauri ya Wilaya ya Meru imefanya kikao cha kujadili Rasimu ya Mpango wa Bajeti ya Awali ya Lishe kwa mwaka wa Fedha 2024/2025.

Mratibu wa Lishe Mkoa wa Arusha Doto Milembe amewasilisha Rasimu hiyo na kueleza kuwa Rasimu ya mpango wa Bajeti ya Awali ya Lishe kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 ni shilingi 138,075,000.00.

Aidha, Mratibu wa MTUHA Mkoa wa Arusha, Agripina Tarimo ametoa mafunzo ya mfumo wa taarifa za uendeshaji wa huduma za ( MTUHA) kwa wajumbe wa Kamati ya Lishe.

Mratibu wa MTUHA Ameeleza kuwa, MTUHA ni mfumo wa kukusanya, kutunza, kuchambua na kutafsiri taarifa za Afya na zile zinazohusiana na Afya kutoka katika Vituo vya kutolea huduma, lengo hasa ikiwa ni kupata takwimu na kutoa maamuzi yanayohusiana na utendaji wa shughuli katika sekta husika.

Vilevile Mfamasia wa Mkoa Thobias Ngonyani ameelezea mpango mkakati wa usimamizi wa bidhaa za Afya katika Vituo vya kutolea huduma na taratibu za uthibiti na usimamizi wa bidhaa mbalimbali kutoka Bohari ya Madawa(MSD).

Kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya Arumeru, Loveness Mlawa ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuelekeza kufanyika kwa Mafunzo haya kwani hii italeta tija na kusaidia kuboresha lishe katika jamii.




Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO WIKI YA UTYUMISHI WA UMMA 2025 DODOMA

    June 13, 2025
  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa