Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda akijibu kero ya wananchi wa Kijiji cha Maroroni, Kwa Ugoro na Valeska kuhusiana na ugawaji wa maeneo katika Shamba la Valeska lililipo kata ya Mbunguni Halmashauri ya Meru.
Mhe. Makonda ametoa ufafanuzi wa ugawaji wa shamba la Valeska kwa Vijiji hivyo pamoja na maeneo yaliyopaki kama maeneo ya hifadhi ( Landbank) na maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya Halmshauri kuweza kuyauza.
Kero hizo za wananchi zimetolewa katika ziara ya Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi balozi Dkt Nchimbi, akikagua utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi na kusikiliza kero za wananchi. viongozi kuhakikisha kero zote za wananchi .
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa