Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul C. Makonda amepongeza utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa shule ya Sekondari ya Madiira iliyopo Kata ya Seela Sing'isi katika Halmashauri ya Wilaya ya Meru.
RC Makonda ametoa pongezi hizo wakati akikagua mradi huo na kuona utekelezaji wa ujenzi wa shule hiyo iliyojengwa kwa fedha shilingi Milioni 584 za Mradi wa SEQUEP .
Aidha, Mhe. Makonda amewataka wanafunzi katika shule ya Sekondari ya Madiira kusoma kwa bidii na kutimiza ndoto zao hapo baadaye.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa