Katibu Tawala Msaidizi Elimu Mkoa wa Arusha Abel A. Ntupwa katika kikao cha Naibu Katibu Mkuu OR- TAMISEMI Dr. Charles E. Msonde na Walimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru ameipongeza Halmashauri hiyo kwa kazi nzuri wanazozifanya hasa katika utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo.
" Naibu Katibu Mkuu Dr. Charles Msonde, labda nikupe taarifa fupi kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Meru imefanya vizuri katika utekelezaji wa miradi ya BOOST na SEQUIP lakini pia Halmashauri ya Meru ni kati ya Wilaya zinazofanya vizuri katika Mitihani na kuongoza kwani ndipo ilipo shule ya Sekondari ya Kisimiri." amesema Ntupwa.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa