Shule ya Sekondari Kisimiri iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Meru, Wilayani Arumeru yashika nafasi ya kwanza katika matokeo ya Mtihani wa kuhitimu kidato cha sita Mwaka 2021.
Aidha, mbali na Shule hii inayomilikiwa na Serikali kujengwa pembezoni imeweza kuongoza Kitaifa kwa mara ya tatu mfululizo ambapo kwa Mwaka huu 2021 watahiniwa wote 72 wamepata ufaulu wa daraja la kwanza (Division one).
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa