• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

SHULE YA SEKONDARI PATANDI MAALUM YAPOA MSAADA KWA MCHEZAJI WA KIMATAIFA WA MOROCCO ACHRAF HAKIMI

Imewekwa: June 27th, 2024

Mchezaji wa Kimataifa wa Morocco katika kablu ya PSG  ya Ufaransa Achraf Hakimi ameeleza kuwa amefurahi sana kwa mara ya kwanza kutoka na kutoa msaada nje ya Morocco.

Aidha, ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kuhakikisha jambo hili linafanikiwa na kutoa msaada kwa watoto wenye mahitaji maalum ili kuwezesha watoto hawa kufikia ndoto zao.

Vilevile, Achraf Hakimi ameahidi kuendelea kutoa msaada katika shule ya Sekondari ya Patandi na kutengeneza historia ya pamoja watoto hao.

rais wa Klabu ya Yanga Hersi Said ameeleza kuwa, mchezaji Achraf  Hakimi

alipotaka kuja mapumziko yake Nchini Tanzania aliona ni vema asiishie kufanya utalii na kuondoka bali atoe msaada kwa watoto wenye uhitaji maalumu na Shule ya Sekondari Patandi maalumu ilipendekezwa iwe shule ya kwanza kupata msaada huo.

rais Hersi amesema, msaada wa vitu vilivyotolewa ni pamoja na kununua kompyuta 50, Laptop 5 za walimu, Vifaa Maalumu vya kusomea wanafunzi wenye uoni hafifu, Photocopy mashine, Projectors kwa ajili ya kuwasaidia walimu kuandaa vipindi kwa wanafunzi wasiweza kusikia ili kujifunza kwa kuona, Boila ya Maji pamoja na ujenzi wa kichomea taka .

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hassan Abbas  Said kwa niaba ya Waziri wa Wizara ya Maliasili na Serikali, ametoa shukrani kwa Achraf Hakimi  kwa msaada aliotoa kwa shule ya Sekondari Patandi Maalum.

Mhe. Abbas amemkaribisha Achraf Hakimi kutembelea vivutio vingine vya utalii vilivyopo Nchini Tanzania kwani maeneo aliyotembelea ni sehemu tu lakini Tanzania ina utajiri wa vivutio vingi ambavyo angependa avione na siyo rahisi kutembelea vivutio hivyo kwa mara moja.

Pia, ameeleza kuwa jambo alilolifanya ni mfano wa kuigwa kwani wapo watu mbalimbali wanakuja lakini yeye ameona asiishie kufanya utalii bali kusaidia watoto wenye uhitaji maalum.


Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO WIKI YA UTYUMISHI WA UMMA 2025 DODOMA

    June 13, 2025
  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa