Mapema hii leo Idara ya Fedha na Uhasibu halmashauri ya Wilaya ya Meru imeendelea na Mafunzo ya Mfumo wa FFARS ( Facility Financial Accounting and Report System ) Mafunzo hayonyakiwa na Lengo ya kutoa ujuzi dhidi ya Mfumo wa matumizi ya Fedha za Serikali kwenye Vituo vya kutolea huduma
Mafunzo hayo yalianza kwa walimu wa shule za msingi na leo yameendelea kwa Wataalamu wa Vituo vya Afya, Watendaji wa kata na Vijiji
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa