Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Meru anawatangazia Watanzania wote wenye sifa za kuomba nafasi ya ajira kwa masharti ya kudumu kuomba nafasi ya Utendaji wa Kijiji daraja la III na Msaidizi wa Kumbukumbu II . Aidha Tangazo hili ni baada ya kupokea Vibali vya ajira mbadala chenye Kumb. Na.FA.170/371/01"'A""/121 cha tarehe 18 Octoba 2021 na Na.FA.170/371/01"'A""/1i1 cha tarehe 20 Septemba 2021 Kutoka kwa katibu Mkuu ofisi ya Rais Menejiment ya utumishi wa Umma na Utawala bora.
Bofya hapa kuona tangazo la kazi pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa